Maandamano ya wanafunzi wa Bangladesh, vifo vya uzazi Yemen, Siku ya Mandela, kuheshimu haki za LGBT katika EuroGames 2024 – Masuala ya Ulimwenguni

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ameelezea wasiwasi wake kuhusu vifo na majeruhi vinavyoripotiwa nchini Bangladesh huku kukiwa na maandamano ya wanafunzi na anatoa wito wa uchunguzi wa kina wa Serikali kuhusu vitendo vyote vya unyanyasaji. Takriban wiki mbili zilizopita, maandamano ya wanafunzi yalizuka katika kampasi za vyuo vikuu katika mji mkuu Dhaka…

Read More

KOCHA CISSE BADO YUPO SANA SENEGAL – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Shirikisho la soka la Senegal (FSF) linataka kumuongeza mkataba Kocha, Aliou Cissé hadi fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 nchini Morocco. Cissé ambaye amekuwa ofisini tangu Machi 2015, ndiye Kocha aliyekaa muda mrefu zaidi katika historia ya Senegal. Mkataba wake wa sasa unamalizika mwishoni mwa Agosti. Licha ya kuondolewa kwa Senegal…

Read More

Je, Uhuru wa Kisayansi Unaleta Maendeleo kwa Afrika? – Masuala ya Ulimwenguni

Lidia Brito, Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa Sayansi Asilia wa UNESCO. Credit: Busani Bafana/IPS by Busani Bafana (addis ababa) Alhamisi, Julai 18, 2024 Inter Press Service ADDIS ABABA, Julai 18 (IPS) – Utafiti wa kisayansi umesababisha mafanikio ya kijamii na kiuchumi duniani kote, lakini wanasayansi wanaofanya hivyo wanakabiliwa na changamoto kubwa. Sayansi inakuza maendeleo, lakini wanasayansi…

Read More

Sumaye: Tumuenzi Mandela kwa vitendo

Dar es Salaam. Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela wanajamii wametakiwa kumuenzi kiongozi huyo kwa vitendo. Maadhimisho hayo ambayo hufanyika Julai 18 ya kila mwaka siku ya kuzaliwa ya Mandela kama sehemu ya kutambua mchango wake kwa jamii za Afrika ya Kusini, Afrika na dunia kwa ujumla. Akizungumza leo Julai 18, 2024…

Read More

MAN CITY WASHUSHA KIFAA KIPYA – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Manchester City imethibitisha kumsajili winga wa Kibrazil, Savinho kwa ada ya pauni milioni 21 itakayofikia milioni 33.6 pamoja na nyongeza akitokea Troyes ya Ufaransa. Savinho (20) ambaye msimu uliopita alikuwa kwa mkopo Girona ya Uhispania amesaini mkataba wa miaka mitano mpaka Juni 2029 na anakuwa usajili wa kwanza wa Man City majira haya ya…

Read More

Unafuu gharama za tiba, dawa za saratani waja Tanzania

Dar es Salaam. Tanzania imeingia makubaliano na Taasisi ya Bioventure for Global Health (BVGH) ya nchini Marekani itakayosaidia kutoa mafunzo kwa wataalamu wa tiba mionzi ikiwemo upatikanaji wa dawa kwa gharama nafuu. Mradi utatoa fursa kwa ajili ya tafiti katika huduma za saratani, kuimarisha miundombinu na kuwezesha upatikanaji wa dawa za saratani kwa gharama nafuu…

Read More