Habari KAMATI MAALUM OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR YATEMBELEA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA July 18, 2024 Admin 16 KAMATI Maalum Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Zanzibar imetembelea Ofisi kuu ya Utabiri, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na kupata uzoefu wa utoaji wa taarifa za tahadhari za hali mbaya ya hewa zinavyosaidia katika kukabiliana na maafa. Related Posts Habari Mwili wa Elias Goroi waagwa, kuzikwa kesho Samunge July 13, 2025 Admin Habari Nimca kuwatunuku tuzo Mwinyi, Nyerere July 13, 2025 Admin