
SERIKALI YAHIMIZA ULINZI WA MAENEO TENGEFU NA HIFADHI YA BIOANUAIN
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akizungumza jambo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Hifadhi hai ya Rufiji-Mafia-Kilwa (RUMAKI) iliyofanyika leo Ijumaa (Julai 19, 2024) Wilayani Rufiji Mkoani Pwani. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowele na kushoto ni Mkurugenzi wa Tafiti za Mazingira…