MichezoONANA NA AWESU WATINGA KAMBINI MISRI LEO Admin2 years ago01 mins 1 Nyota wawili wa Simba SC Awesu Awesu na Willy Onana wamewasili kambini Ismailia, nchini Misri kwaajili ya kujiunga na wenzao katika kikosi cha klabu hiyo ili kukamilisha muda wa preseason kwa maandalizi ya msimu mpya. #KonceptTvUpdates Post navigation Previous: Bangladesh yapiga marufuku maandamano – DW – 19.07.2024Next: TAASISI ZILIZOPO CHINI YA WIZARA YA VIWANDA ZAAGIZWA KUTUMIA BIDHAA ZA NDANI