
BODABODA ZAIDI YA 200 WAHITIMU MAFANZO USALABA BARABARA TANGA
Na Mwandishi Wetu,Tanga MADEREVA bodaboda zaidi ya 200 katika Wilaya ya Tanga mkoani Tanga.wamehitimu Mafunzo ya usalama barabarani yaliyokuwa yakitolewa na Shirika la Amend kwa kushirikiana na wadau mbalimbali. Katika Mafunzo hayo yaliyofadhiliwa na Ubalozi wa Uswiss nchini Tanzania yamehusisha matumizi sahihi ya barabara, sheria za usalama barabarani, umuhimu wa utoaji huduma ya kwanza kwa…