
“CHAGUENI VIONGOZI WA MAENDELEO UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA,”- DKT. BITEKO – MWANAHARAKATI MZALENDO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kuchagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwenye uchaguzi mwaka huu ambao watakuwa mstari wa mbele kuleta maendeleo na kutatua changamoto zao kwa haraka. Dkt. Biteko ameyasema hayo wakati akihutubia mkutano wa hadhara kijiji cha Lyambamgongo wilaya ya Bukombe mkoani Geita. “Muda…