
RODRI ASHITAKIWA NA UEFA KISA HIKI HAPA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Nyota wa Manchester City na Uhispania Rodri, ameshtakiwa na UEFA baada ya kutoa kauli ya kuudhi kuhusu Gibraltar wakati wa kusheherekea ushindi wa EURO 2024. Kiungo huyo alisikika akiimba ”Gibraltar ni ya Uhispania” kupitia kwenye kipaza sauti mbele ya maelfu ya Mashabiki katika shughuli moja iliyofanyika huko Madrid Julai 15. Mwingine aliyeshtakiwa ni nahodha…