Umaskini Zaidi kwa Maskini – Masuala ya Ulimwenguni

Maoni by Jomo Kwame Sundaram (kuala lumpur, Malaysia) Jumatano, Julai 24, 2024 Inter Press Service KUALA LUMPUR, Malaysia, Julai 24 (IPS) – Nchi nyingi za kipato cha chini (LICs) zinaendelea kudorora nyuma zaidi duniani. Wakati huo huo, watu walio katika umaskini uliokithiri wamekuwa wakiongezeka tena baada ya miongo kadhaa ya kupungua. Jomo Kwame Sundaram Kuanguka…

Read More

Wawili wadakwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Tabora

Tabora. Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linawashikilia watu wawili wakituhumiwa kwa mauaji ya mfanyabiashara Magreth Mwaviombo, aliyeuawa Julai 13, 2024 kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali. Hayo yamebainishwa leo Jumatano Julai 24, 2024 na Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Richard Abwao akisisitiza kuwa jeshi hilo halijalala. Amesema, “kutokana na tukio la mauaji lililotokea…

Read More

KIBU DENIS YUPO NCHI HII – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Sakata la Kibu Dennis limeingia sura mpya baada ya kubainika kuwa yupo Nchini Norway kwa ajili ya majaribio baada ya kuitoroka Simba SC kama ilivyoripitiwa awali.   Hii ni baada ya nyota huyo kupokea barua ya mwaliko kutoka klabu ya Kristiansund BK ya Nchini humo kwa ajili ya kufanyiwa majaribio ya Mwezi mmoja kuanzia…

Read More

Bodi ya TASAC yabaini Changamoto Katika Bandari ya Bagamoyo

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Uwakala wa Meli (TASAC) Nahodha Mussa Mandia akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na kupunguza kodi katika bidhaa za Kutengenezea Boti ambayo iko nyuma yake wakati Bodi ilipofanya ziara katika Bandari ya Bagamoyo. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli  Tanzania (TASAC) Mohamed Salum akionesha Vyombo Vidogo vya…

Read More

Utapenda wadau wanavyojadili matumizi ya intaneti, faida zake kemkem

Dar es Salaam.  Wadau wa masuala ya teknolojia nchini Tanzania wamesema intaneti ina nafasi kubwa katika kuchochea maendeleo ya nchi, hivyo mamlaka zinazohusika zina wajibu wa kuhakikisha huduma hiyo inaboreshwa ili kumnufaisha kila mtu kwenye jamii. Kutokana na fursa nyingi zinazopatikana kupitia mtandao huo, wadau hao wamesema ni nadra kwa mtu yeyote anayehitaji maendeleo kutoutumia…

Read More

DKT. MSONDE- MADARASA JANJA KUPUNGUZA CHANGAMOTO YA UPUNGUFU WA WALIMU NCHINI

NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI) anayeshughulikia elimu, Dkt. Charles Msonde amesema kuwa, upatikanaji wa madarasa janja (smart classrooms) utasaidia kwa kiwango kikubwa katika kuongeza ufanisi wa ujifunzaji na ufundishaji nchini pamoja na kupunguza changamoto ya upungufu wa walimu.  Dkt. Msonde amesema hayo leo  katika ofisi…

Read More

Jinsi Serikali za Kiafrika Zinaweza Kuongoza Njia ya Kukomesha Ndoa za Utotoni – Masuala ya Ulimwenguni

Credit: Usawa Sasa Maoni na Deborah Nyokabi (nairobi, kenya) Jumatano, Julai 24, 2024 Inter Press Service NAIROBI, Kenya, Julai 24 (IPS) – Thandi*, msichana mwenye umri wa miaka 14 kutoka Malawi, ni mtoto na mama. Baada ya yeye na ndugu zake kuwa yatima, waliachwa chini ya uangalizi wa nyanya yao ambaye alihangaika kuwahudumia. Thandi anakumbuka…

Read More