
PROF MKENDA AITANGAZA RASMI SAMIA SCHOLARSHIP EXTENDED ILIYOTENGEWA BAJETI YA BILIONI 1.6.
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Adolph Mkenda amesema kuwa wamegundua uwepo wa uhaba mkubwa wa wataalam katika nyanja ya Sayansi na Teknolojia ya Nyukilia hapa Nchini ambapo uhalisia unaonesha kuna idadi ndogo ikiwemo Afya,Elimu,Nishati, Viwanda,Kilkmo na kwingineko. Prof. Mkenda ameyasema hayo leo hii Jijini Dodoma katika mkutano na Wanahabari…