USIKU WA CHEKA TU ULIVYOFANA JIJINI DODOMA

 Hivi ndivyo usiku wa Cheka Tu uliyofanyika jana mjini Dodoma, ambapo Serengeti Breweries kupitia chapa yake ya Captain Morgan ndio mdhamini mkuu wa matukio yote ya burudani katika kuelekea siku ya mbio za NBC Dodoma Marathon.

Related Posts