
Ali Kamwe aaga Jangwani, ataja sababu
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ali Kamwe ametangaza kuachia nafasi hiyo huku akisema muda wake umemalizika. Kamwe aliyehudumu katika nafasi hiyo kwa miaka miwili amethibitisha kuondoka Yanga kupitia ukurasa wake wa mtandao w Instagram leo Jumapili Julai 28, 2024. “Mtumbuizaji mzuri anatakiwa kujua ni wakati gani wa kuondoka Jukwaani. Maneno ya hekima kutoka…