'Uhalifu wa Urasimu', Sheria Mpya Inatishia NGOs na Demokrasia – Masuala ya Ulimwenguni

Machi kutafuta haki katika Asunción, mji mkuu wa Paraguay. Mikopo Patricia López Maoni na Monica Centron – Isabella Camargo – Bibbi Abruzzini (asunciÓn, Paragwai) Jumatatu, Julai 29, 2024 Inter Press Service ASUNCIÓN, Paraguay, Julai 29 (IPS) – Katika hatua ambayo imeibua wasiwasi wa kitaifa na kimataifa, Seneti ya Paraguay imetoa kibali cha awali kwa mswada…

Read More

MNEC SALIM SAS KUFANYA ZIARA IRINGA

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM (MNEC) Mkoa wa Iringa Mhe. Salim Abri Asas anatarajiwa kufanya ziara maalum katika Mkoa huo ambapo pia atakutana na Halmashauri Kuu za CCM Wilaya. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Katibu Siasa, Uenezi na Mafunzo Mkoa wa Iringa imebainisha kuwa ziara hiyo inatarajia kuanzia…

Read More

Tuzo ya Kiswahili yafungua dirisha miswada ya 2024

Dar es Salaam. Washiriki wa Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika wametakiwa kuwasilisha miswada yao kwa ajili ya shindano la mwaka 2024, huku waandishi wanawake wakihimizwa kujitokeza kwa wingi kushiriki. Uwasilishwaji wa miswada unaanza kesho Julai 30, 2024 ambapo waandishi kutoka Afrika Mashariki na duniani kote wanaoandika kwa Kiswahili wanahimizwa kuwasilisha miswada…

Read More

Mambo ya kukumbuka kwa Kinana

Dar es Salaam. Abdulrahman Kinana, ameamua kupumzika siasa za majukwaani. Ni baada ya kukitumikia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi mbili za juu. Alianza akiwa Katibu Mkuu akaomba kupumzika. Aprili mosi, 2022 wajumbe wa mkutano mkuu wakamchagua kwa kishindo kuwa Makamu Mwenyekiti-Bara wa chama hicho. Kinana (71), amemwandikia barua Mwenyekiti wake wa chama, Rais Samia…

Read More

MRADI WA TAZA KUUNGANISHA UMEME AFRIKA

Serikali imesema kuwa mradi mkubwa wa usafirishaji umeme wa TAZA unaohusisha ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti 400 kutoka Iringa hadi Sumbawanga na kuunganisha Tanzania na Zambia (TAZA) pamoja na vituo vya kupoza umeme vya Tagamenda, Kisada, Iganjo, Nkengamo na Malangali utawezesha kuunganisha Bara la Afrika kwa nishati ya umeme kutoka…

Read More