Wanawake wa Afghanistan Wageukia Kazi Hatari Mtandaoni Huku Kukiwa na Marufuku ya Taliban – Masuala ya Ulimwenguni

Wanawake wengi wa Afghanistan wamegeukia biashara ya mtandaoni licha ya hatari zake, kwani aina zote za kazi ni marufuku kwa wanawake. Credit: Learning Together. Jumanne, Julai 30, 2024 Inter Press Service Mwandishi ni mwandishi wa habari wa kike anayeishi Afghanistan, aliyefunzwa kwa usaidizi wa Kifini kabla ya Taliban kuchukua mamlaka. Utambulisho wake umefichwa kwa sababu…

Read More

Serikali kudhibiti madaktari wanaofanya ‘part time’

Dar es Salaam. Kutokana na idadi kubwa ya madaktari kuwapo kijiweni, Serikali  imesema ipo katika mchakato wa kulipatia ufumbuzi  tatizo hilo, ikigusia kuwa itaanza kudhibiti wale wanaofanya kazi eneo zaidi ya moja. Zaidi ya madaktari 5,000 waliohitimu na kuwa na sifa za kuajiriwa, bado wanaendelea kusota mtaani kwa kukosa ajira rasmi, huku wakikadiriwa kutumia zaidi…

Read More

Vigogo ACT-Wazalendo, Chadema Lindi watimkia CCM

Lindi. Aliyekuwa mbunge wa Mchinga (CUF), Hamidu Bobali amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Emmanuel Nchimbi uliofanyika mjini Lindi, leo Jumanne, Julai 30, 2024. Wanachama wengine wa vyama mbalimbali wamejiunga na chama hicho, akiwamo mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Mchinga, Sapanga Hamis Sapanga. Hadi…

Read More

Mkuu wa Jeshi la Anga la Namibia atembelea CATC

 Mkuu wa Jeshi la Anga la Namibia Air Vice Marshal Teofilus Shaende na ujumbe wake wametembelea Chuo cha Usafiri wa Anga(CATC). Katika ziara hiyo Air Vice Marshal Shaende amepata fursa ya kufahamishwa kuhusu mafunzo yanayotolewa, mafanikio yake kitaifa na Kimataifa na mkakati  wa sasa wa serikali wa kuboresha chuo chini ya usimamizi wa Mamlaka ya…

Read More

DC Arumeru awaangukia watafiti kuhusu madini ya flouride kwenye maji

Arusha.Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Emmanuela Kaganda, amewataka watafiti kutoka Taasisi ya Utafiti ya Nelson Mandela inayoshughulikia masuala ya sayansi na teknolojia Afrika, kufanya utafiti wa upatikanaji wa uchujaji wa maji ili kupunguza madini ya flouride yenye madhara kwa watumiaji. Amesema miongoni mwa madhara wanayopata wananchi kutokana na matumizi ya maji hayo yanayodaiwa kuwa na…

Read More

Wakili Kitale apingwa kesi dhidi ya TLS, uamuzi Agosti 9

Mwanza. Mvutano wa kisheria umeendelea kuibuka katika shauri lililofunguliwa na Wakili Steven Kitale katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza baada ya mjibu maombi wa nne, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kuwasilisha pingamizi likiwa na hoja mbili. Wajibu maombi katika shauri hilo namba 17558/2024, lililoitwa mahakamani leo Jumanne Julai 30, 2024 kwa ajili ya kusikilizwa ni…

Read More

Rais Samia kubisha hodi Morogoro

Morogoro. Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajia kufanya ziara ya siku sita mkoani hapa na atapata fursa ya kuzungumza na wananchi na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Julai 30, 2024 ofisini kwake, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amesema ziara hiyo itaanza Agosti 2 na ataikamilisha…

Read More

Meli iliyobeba magari 300 yatia nanga Bandari ya Tanga

Tanga. Meli ya mizigo ya Kampuni ya Seefront Shipping Service Limited yenye uzito wa tani 14,000 iliyobeba magari 300 ya wafanyabiashara wa nchi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Zambia, Burundi, na Rwanda imetia nanga katika Bandari ya Tanga baada ya Serikali kuiboresha bandari hiyo. Akizungumza baada ya kuwasili kwa meli hiyo, Naibu Waziri…

Read More

JUBILEE WAZINDUA BIDHAA YA FBIZ KUWAFIKIA WAFANYA KAZI WALIOKO KATIKA KAMPUNI NDOGONDOGO

    Na Said Mwishehe, Michuzi TV KAMPUNI ya Jubilee Insurance imezindua huduma ya  bima ya FBiz  itakayokuwa ikihudumia wafanyakazi walioko katika Kampuni ndogo ndogo zenye wafanyakazi kuanzia watatu mpaka 15,lengo kuu la bidhaa hiyo ni kuwafikia wafanyakazi hao ambao wamekuwa wakihitaji kupata huduma za Kampuni hiyo. Akizungumza leo Julai 29,2024 jijini Dar es Salaam…

Read More