DKT.JAFO APONGEZA UWEKEZAJI KIWANDA CHA SUKARI KILOMBERO

  Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, aakizungumza mara baada ya kukagua kiwanda cha sukari Kilombero kilichopo mkoani Morogoro mara baada ya kutembelea kiwanda hicho leo Julai 31,2024. Na Mwandishi Wetu, MOROGORO Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo leo ameupongeza uongozi wa kiwanda cha sukari Kilombero kilichopo mkoani Morogoro kwa uwekezaji…

Read More

Majeruhi Leny Yoro yamuweka nje ya uwanja akiwa Man Utd

Mchezaji mpya wa Manchester United aliyesajiliwa kwa pauni milioni 59 Leny Yoro anatarajiwa kuwa nje ya msimu wa 2024/25 kutokana na jeraha la mguu. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 18, ambaye aliwasili kutoka Lille mwezi huu, alilazimika kuondoka wakati United ilipochapwa 2-1 na Arsenal kwenye Uwanja wa SoFi mjini Los Angeles Jumamosi iliyopita. Beki…

Read More

Rais Samia kusafiri kwa SGR Dar-Dodoma kesho

Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan kesho Alhamisi, Agosti 1, 2024 atazindua treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kwa kupanda kutoka jijini Dar es Salaam hadi Dodoma. Katika taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mkoa wa Dodoma leo Jumatano Julai 31, 2024, imesema Rais Samia atasafiri kwa treni hiyo kwa kilometa zaidi 444 kama ishara…

Read More

Watoto waliokuwa wanaokota kuni wabaini mafuvu 17 kanisani

  Mafuvu ya watu 17 yaliyokuwa yamezikwa ndani ya makasha ya chuma yamefukuliwa katika jengo linalodaiwa kuwa la kuabudia katikati mwa Uganda. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa… (endelea). Mafuvu hayo yamebainika baada ya watoto waliokuwa wakitafuta kuni nje ya kijiji cha Kabanga jirani na mji wa Mpigi, takribani kilometa 40 magharibi mwa mji mkuu Kampala, kugundua…

Read More