Mtaa wa Kisiwani Tabata kupata shule ya msingi

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetenga Sh milioni 200 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya msingi katika Mtaa wa Kisiwani uliopo Kata ya Tabata. Kujengwa kwa shule hiyo kutaiwezesha Kata ya Tabata kuwa na shule saba za msingi kati ya mitaa minane iliyopo. Akizungumza Julai 22,2024 wakati…

Read More

Polisi yatoa kauli miili miwili kuokotwa mkoani Dodoma

Dodoma. Jeshi la Polisi limetoa taarifa kuhusu matukio ya miili ya wanawake wawili kuokotwa katika Kata ya Mkonze jijini Dodoma, likiwataka waliopotelewa na ndugu kujitokeza kuutambua mmoja. Mwili huo ni wa mwanamke anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 25 hadi 30 uliopatikana kwenye korongo katika Mtaa wa Miganga, kata ya Mkonze Jumapili Julai…

Read More

ZIARA YA DKT. BITEKO BUKOMBE YAWAKOSHA WAKAZI KATA NAMONGE

Waipongeza Serikali ya Rais Samia kuboresha huduma za jamii Waomba kujengewa Barabara kusafirisha mazao Dkt. Biteko aagiza kukamilishwa, kutumika Zahanati Kijiji Ilyamchele Awahakikishia ukarabati wa Barabara ipitike nyakati zote Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Wananchi wa Kijiji cha Ilyamchele, Kata ya Namonge Wilayani Bukombe wameipongeza Serikali kwa kuboresha huduma mbalimbali…

Read More

Aliyeipeleka Azam FC colombia ana sehemu yake mbinguni

Ilianzia dirisha dogo la msimu uliopita pale Azam FC walipomtambulisha Franklin Navarro, kiungo wa ushambuliaji kutoka Colombia. Navarro hakutambulishwa tu kwa jezi bali mechi ya Kombe la Mapinduzi pale alipoingia dakika za mwisho dhidi ya Chipukizi FC ya Zanzibar. Alipogusa mpira wa kwanza tu kila mtu uwanjani na hata aliyeangalia mechi ile kwenye runinga, alijisemea…

Read More

Mbunge Bonnah awakosha wananchi Tabata

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Wananchi wa Kata ya Tabata wanaotakiwa kuhama kupisha mradi wa mabasi yaendayo haraka ‘mwendokasi’ wametakiwa kuendelea kuishi na kuendeleza makazi yao mpaka awamu ya sita ya ujenzi huo itakapoanza kutekelezwa. Nyumba za wananchi hao ziliwekwa alama ya X kwa muda mrefu hatua iliyosababisha kushindwa kuendeleza makazi yao wakisubiri kutekelezwa kwa…

Read More