
Vijana Kenya waonywa kutoandamana kufika uwanja wa ndege – DW – 23.07.2024
Mamlaka ya uwanja wa ndege ya Kenya imewashauri abiria wanaotumia uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta kufika mapema kuliko kawaida. Tahadhari hiyo inatokana na hatua ya baadhi ya waandamanaji kujipanga kukusanyika katika maeneo ya uwanja huo. Kaimu Inspekta Jenerali wa polisi nchini humo Douglas Kanja Kirocho amewaonya waandamanaji dhidi ya jaribio hilo la kuuvamia…