WAZIRI BASHE ATANGAZA NEEMA KILIMO CHA UMWAGILIAJI KATAVI

-Serikali yawekeza zaidi ya shilingi Bilioni 55 Katavi -Azindua ujenzi wa Maghala mawili na kuweka jiwe la Msing ujenzi wa Ukarabati wa Skimu ya Umwagiliaji  -Aishukuru Tume kwa kutekeleza miradi zaidi ya 29 Katavi  mkoani humo Waziri Kilimo Hussein Bashe, ametangaza neema kwa wakulimo wa Katavi na kusisitiza kuwa serikali imedhamiria kuendelea kuwekeza katika kilimo…

Read More

Tume yamtaja Makonda matumizi mabaya ya madaraka

Dodoma. Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imemkuta na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka, Mkuu wa Mkoa wa Arusha (RC), Paul Makonda aliyeagiza mwananchi mmoja kukamatwa na kuwenda rumande saa 96 bila kufunguliwa mashtaka. Pia imesema, Makonda alipoitwa mbele ya tume kuwasilisha utetezi wake alikaidi. Hayo yamesemwa leo Ijumaa, Julai 19,…

Read More

Indonesia ipo tayari kuendelea kuwekeza Tanzania

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Stanslaus Nyongo (Mb) amesema kuwa Jamhuri ya Indonesia itaendelea kuwekeza nchini Tanzania katika sekta mbalimbali. Mhe. Nyongo amebainisha hayo, leo Julai 19, 2024 alipokutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia, Mhe. Pahala Mansury ambaye amefika nchini kwa ajili ya kuikaribisha Tanzania…

Read More

Ruto ateua mawaziri wapya, awarudisha sita

Nairobi. Rais wa Kenya, William Ruto ameteua Baraza jipya la Mawaziri huku akiwarudisha sita kati ya aliowatumbua. Amelitagaza baraza hilo leo Julai 19, 2024 ikiwa ni siku tisa tangu alivunje baraza la awali. Hii hapa orodha ya walioteuliwa: Profesa Kithure Kindiki – Waziri wa Mambo ya Ndani na Utawala wa Kimataifa Dk Debra Mulonga Barasa…

Read More

ANZA IJUMAA YAKO KWA KUSUKA JAMVI NA MERIDIANBET

IJUMAA ya leo Meridianbet wanakukaribisha ubashiri mechi za kirafiki ambazo zinaendelea ambapo hapa unaweza ukabashiri machaguo uyapendayo mechi zote. Usisubiri kuambia ingia sasa na ubashiri. Anza kubeti mechi ya Ajax dhidi ya Olympiacos ambayo imepewa ODDS 1.84 kwa 3.77, huku ukikumbuka kuwa mgeni ni bingwa wa Konferensi ligi. Ajax kutoka Uholanzi ilimaliza ligi ikiwa inashika…

Read More

Mwenge wa uhuru waridhishwa na miradi Simanjiro

Mwenge wa uhuru kitaifa kwa mwaka 2024 umekamilisha mbio zake Wilayani Simanjiro ambapo umeona, kuweka mawe ya msingi na kuzindua jumla ya miradi 9, ikiwemo Afya,elimu,Maji,barabara pamoja na Mradi wa kuhimili mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia Mfumo wa ikolojia vijijini yenye jumla ya thamani ya shilingi Bilioni 6.5 Miongoni mwa miradi iliyowekewa mawe ya msingi…

Read More