
Upungufu wa walimu unavyowaliza wazazi Mwanga
Mwanga. Wazazi katika Kata ya Kigonigoni iliyopo Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia upungufu wa walimu ikielezwa baadhi ya shule za shule za msingi zenye watoto wengi zina walimu wawili hadi wanne. Wilaya hiyo yenye shule za msingi 110, ina jumla ya wanafunzi 24,476 wa darasa la awali hadi la saba na hivyo kuwa na…