
Mwandishi apigwa faini ya Sh14.6 milioni kwa kumdhihaki Waziri Mkuu
Milan. Mwandishi wa habari kutoka Milan nchini Italia, Giulia Cortese amehukumiwa kulipa faini ya Euro 5,000 sawa na Sh14.6 milioni kwa kosa la kumdhihaki Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Giorgia Meloni. Mahakama imeeleza kuwa Cortese alitenda kosa hilo mtandaoni kwa kuchapisha ujumbe kwenye mtandao wa X, akisema Waziri huyo ni mdogo na hawezi hata kumuona,…