
Heri Lamine Yamal hajamkuta Lionel Messi
KWA sasa moja ya majina yanayotamba duniani ni la Lamine Yamal. Ndio. Kile alichokionyesha kwenye michuano ya Euro 2024 Ujerumani, ilikuwa lazima aimbwe kila kona. Kipaji chake alichonacho tangu aanze kucheza soka kwenye akademi ya vijana ya Barcelona na hadi kupanda timu ya wakubwa, imekuwa gumzo. Hata hivyo, kuna wanaoamini, endapo staa huyo angekuwa timu…