
ONANA NA AWESU WATINGA KAMBINI MISRI LEO
Nyota wawili wa Simba SC Awesu Awesu na Willy Onana wamewasili kambini Ismailia, nchini Misri kwaajili ya kujiunga na wenzao katika kikosi cha klabu hiyo ili kukamilisha muda wa preseason kwa maandalizi ya msimu mpya. #KonceptTvUpdates