
Mbunge Bonnah apiga kambi jimboni kusikiliza, kutatua kero za wananchi
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Mbunge wa Segerea, Bonnah Kamoli amefanya ziara kukagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi katika mitaa na kata mbalimbali za jimbo hilo kwa lengo la kutatua kero walizonazo. Bonnah yuko jimboni tangu Bunge la Bajeti (2024/2025) lilipohitimishwa ambapo amekuwa akitumia muda wa mapumziko kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo,…