
Tume ya haki za binadamu yafuatilia haki ya wafanyakazi kwenye kilimo Njombe “Lengo uwekezaji usiwe na madhara kwa binadamu”
Ili kulinda na kuhakikisha shughuli za uwekezaji zinaendelea bila kuwa na madhara kwa binadamu,tume ya haki za binadamu chini wizara ya katiba na sheria imefika na kufuatilia namna wawekezaji kwenye sekta ya kilimo mkoani Njombe wanavyo jali sera ya haki za binadamu kwenye maeneo yao ya uwekezaji. Dkt.Thomas Masanja ni kamishna wa tume ya haki…