
MAN CITY WASHUSHA KIFAA KIPYA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Manchester City imethibitisha kumsajili winga wa Kibrazil, Savinho kwa ada ya pauni milioni 21 itakayofikia milioni 33.6 pamoja na nyongeza akitokea Troyes ya Ufaransa. Savinho (20) ambaye msimu uliopita alikuwa kwa mkopo Girona ya Uhispania amesaini mkataba wa miaka mitano mpaka Juni 2029 na anakuwa usajili wa kwanza wa Man City majira haya ya…