
JELA MIAKA 30 KWA KOSA LA KUZINI NA BINTI YAKE – MWANAHARAKATI MZALENDO
Mfugaji na mkazi wa Kipata Kiromo Bagamoyo Yusuph Ngula Kitala (60), amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuzini na binti yake wa miaka 16. Mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Kibaha imemtia hatiani mtu huyo kwa kutenda kosa Hilo kinyume na Sheria na maadili ya kitanzania kwa binti mwenye umri wa miaka 16…