Mapambano Mengi ya Wanawake kwa Ajili ya Haki ya Hali ya Hewa nchini Nepal – Masuala ya Ulimwenguni

Wakulima wanawake huko Helambu, Sindhupalchwok. Wanawake, ambao ndio wakulima wakuu, wanapaswa kukabiliana na mabadiliko ya mifumo ya theluji na mvua, ambayo inaathiri shughuli zao za kilimo. Walakini, wanahisi kama hakuna mtu anayesikiliza wasiwasi wao. Mkopo: Tanka Dhakal/IPS na Tanka Dhakal (kathmandu) Alhamisi, Julai 18, 2024 Inter Press Service KATHMANDU, Julai 18 (IPS) – Wakinyamazishwa na…

Read More

MRADI “BARRICK-TWIGA FUTURE FORWARD EDUCATION PROGRAM” WALETA MAPINDUZI SEKONDARI ZA SERIKALI NCHINI

Muonekano wa madarasa kwa ndani #Awamu ya kwanza imefanikisha ujenzi wa vyumba vya madarasa vya kisasa 374,mabweni 89 na mashimo ya vyoo 569 nchini kote ** Mradi mkubwa wa aina yake wa kusongesha mustakabali wa elimu nchini unaotekelezwa kwa ubia kati ya kampuni ya Barrick na Serikali ya Tanzania unaojulikana kama ‘Barrick-Twiga Future Forward Education…

Read More

Kundi la IS huenda linajiunda upya – DW – 18.07.2024

Kulingana na afisa wa wizara ya ulinzi ya Marekani ambaye alizungumza kwa sharti la kutotajwa jina amesema mwaka 2023 kundi hilo lilihusika na mashambulizi yapatayo 121 katika katika mataifa hayo mawili. CENTCOM hata hivyo imesisitiza kuwa kuongezeka kwa mashambulizi ya kundi hilo la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu huko Iraq na Syria, kunadhihirisha kuwa IS inajaribu…

Read More

Adaiwa kupotea kwa miezi miwili, familia yahaha

Mwanza. Daniel Sayi (48) mfanyabiashara wa ng’ombe wilayani Geita mkoani hapa, anadaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake Kitongoji cha Kiomboi, Kijiji cha Ihilika, Kata ya Nyarugusu mkoani Geita. Sayi inadaiwa alichukuliwa Mei 13, 2024 saa 12 jioni baada ya watu wanne waliokuwa na gari aina ya Toyota Land Cruzer yenye rangi nyeupe kufika…

Read More

TPDC YAUNGA MKONO MPANGO WA NISHATI SAFI NCHINI

  “Ujenzi wa Kituo mama cha kushindilia gesi asilia kwenye magari (CNG) ni sehemu ya Mpango Mkakati wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhakikisha Watanzania wote wanatumia nishati safi kwenye magari, kupikia na vyombo vingine vya moto”.   Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa…

Read More

Dhuluma dhidi ya watoto zaongozeka Busia – DW – 18.07.2024

Katika maeneo ya barabarani utaona vijana wadogo wanafanya biashara za uchuuzi wa bidhaa mbali mbali hadi migodini. Soma pia:Nusu ya Wakenya wako kwenye mkwamo wa kifedha – Utafiti Na kwenye ziwa Viktoria utawaona vijana wakifanya uvuvi wa samaki. Hizi ni miongoni mwa ajira kwa watoto, katika jimbo la Busia ambako viwango vya umaskini vinahusishwa na ongezeko la ajira miongoni…

Read More

DC KISARAWE AONESHA ENEO LA UWEKEZAJI, TIC KUWEKA KAMBI

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Gilead Teri kushoto akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 18, 2024 mara baada ya kujionea eneo la Uwekezaji lililopo Wilaya ya Kisarawe Mkoa Pwani. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania(TRC), Masanja Kadogosa akizungumza na waandishi wa habari walipotembelea eneo la Uwekezaji lililopo katika Wilaya ya…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Sasa tutaona ubora wa David Ouma

KOCHA David Ouma alifanya kazi nzuri na ya kipekee katika kikosi cha Coastal Union msimu uliopita tofauti na matarajio ya wengi. Jamaa aliikuta Coastal Union inayosuasua kwenye Ligi, lakini ndani ya muda mfupi akaibadilisha na ikaanza kufanya vizuri hadi kufanikiwa kumaliza katika nafasi ya nne katika msimamo wa Ligi Kuu Bara msimu uliomalizika. Coastal ambayo…

Read More