Pamba Jiji yatenga Sh1 bilioni msimu wa 2024/25

MLEZI na mshauri mkuu wa Pamba Jiji, Said Mtanda amesema jumla kuu ya bajeti ya uendeshaji wa timu hiyo msimu huu katika ushiriki wake Ligi Kuu ni takribani Sh1.5 bilioni, huku ikitumia zaidi ya Sh300 milioni kwenye usajili wa dirisha kubwa. Timu hiyo itacheza Ligi Kuu Bara inayoanza Agosti 16, mwaka huu baada ya miaka…

Read More

Israel ikomeshe mateso kwa Wapalestina Gaza – DW – 18.07.2024

Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka Israel kuachana na vitendo vya kuwaweka gerezani Wapalestina kwa muda usiojulikana na bila kufunguliwa mashtaka. Amnesty imeongeza kuwa mamlaka za Israel zinatakiwa kukomesha kile walichokiita “mateso yaliyokithiri” katika magereza hayo na kusisitiza kuwa vitendo vyote hivyo ni ukiukaji wa wazi wa sheria za…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Kila la kheri Aisha Masaka England

MTANZANIA Aisha Masaka juzi alikamilisha uhamisho wa kujiunga na timu ya wanawake ya Brighton inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya England ambayo msimu uliopita ilimaliza ikiwa nafasi ya 10. Masaka amejiunga na Brighton akitokea BK Hacken ambayo mwaka 2022 alijiunga nayo akitokea Yanga Princess. Kitendo cha Aisha Masaka kujiunga na Brighton kinamfanya kuwa Mtanzania wa…

Read More

Wajasiriamali wapewa mbinu kulikamata soko la ngozi kimataifa

Dar es Salaam. Wajasiriamali nchini Tanzania wamepewa mbinu za kukabiliana na changamoto ya bidhaa za ngozi na vifungashio katika ushindani wa soko la kitaifa, kikanda na kimataifa. Wajasiriamali 50 wamepewa mbinu hizo leo Alhamisi Julai 18, 2024 katika kongamano la kuwaongezea uwezo ili kuweza kushindana kwenye masoko ya ndani na nje ya nchi, lililoandaliwa na…

Read More

Kopunovic atoa masharti nyota sita Pamba

LICHA ya uongozi wa Pamba Jiji kukamilisha usajili wa wachezaji 24 hadi sasa, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Goran Kopunovic amesema anahitaji wachezaji sita wenye ubora wa kucheza Ligi Kuu na kuisaidia timu hiyo kutoa ushindani kwani michuano hiyo ni migumu. Pamba Jiji iliwaongezea mikataba wachezaji saba wa msimu uliopita na imeshatangaza wachezaji wapya 17…

Read More

Kesi ya Malisa kizungumkuti, yakutwa haijasajiliwa

Moshi. Kesi ya uchochezi inayomkabili Mwanaharakati na Mkurugenzi wa GH Foundation, Godlisten Malisa imezua sintofahamu baada ya kufika mahakamani leo, Julai 18, 2024 mkoani Kilimanjaro na kukuta kesi hiyo bado haijasajiliwa. Malisa akiongozana na mawakili wake watatu kati ya saba, wakiwamo Dickson Matata, Hekima Mwasipu na Peter Kidumbuo, walifika mahakamani hapo saa tatu asubuhi kama…

Read More

BAHATI YAKO IPO MERIDIANBET LEO

NDUGU mteja wakati huu ambao ligi mbalimbali hazijaanza endelea kubashiri na Meridianbet mechi za kirafiki ambazo nazo zina ODDS za kibabe. Suka jamvi lako hapa na ujiweke kwenye nafasi ya kuibuka bingwa. FC Dynamo Kyiv atakipiga dhidi ya Union Berlin kutoka kule Ujerumani ambapo nafasi ya kuondoka na ushindi leo hii akipewa mgeni kwa ODDS…

Read More