
Biashara yazidi kuimarika mpaka wa Tunduma
Dar es Salaam. Mpaka wa Tunduma- Nakonde umetajwa kuwa kichocheo kikubwa cha biashara kati ya Tanzania, Zambia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), huku takwimu zikionyesha biashara katika eneo hilo ikiongezeka maradufu. Mafanikio hayo yameonekana ikiwa imepita miezi tisa baada ya Tanzania na Zambia kukubaliana kuzifanyia kazi changamoto nane kati ya 24 za kibishara,…