
TANZANIA KUWA MWENYEJI JUKWAA LA UNUNUZI WA UMMA AFRIKA MASHARIKI
MKURUGENZI wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) Eliakim Maswi amesema Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa Jukwaa la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki linalotarajia kufanyika kuanzia Septemba 09-12 mwaka huu jijini Arusha. Hii ni mara ya nne kwa Tanzania kupata nafasi ya kuratibu na kuandaa jukwaa hilo ambalo linatoa fursa kwa wadau…