
UONGOZI WA YOUNG AFRICANS SC WAKABIDHI VIFAA NA MAHITAJI KWA HOSPITALI YA RUFAA TEMEKE – MWANAHARAKATI MZALENDO
Uongozi wa Klabu ya Young Africans SC kwa kushirikiana na GSM Foundation, SportPesa, na Benki ya CRDB umekabidhi vifaa na mahitaji mbalimbali kwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke. Tukio hilo lilifanyika leo katika hospitali hiyo ambapo vifaa vilikabidhiwa kwa Mkurugenzi wa Hospitali, Dr. Joseph Kimaro. Hii ni sehemu ya jitihada za klabu hiyo…