
Mbunge ‘ashtaki’ kwa Rais Samia wananchi kukosa vitambulisho Nida
Dar es Salaam. Mbunge wa Momba (CCM), Condester Sichalwe amemweleza Rais Samia Suluhu Hassan kilio cha wananchi kuhusu changamoto ya upatikanaji wa Vitambulisho vya Taifa katika Mkoa wa Songwe. Sichalwe amebainisha hayo leo Alhamisi Julai 18, 2024 Tunduma mkoani Songwe wakati wa ziara ya Rais Samia katika mkoa huo ambapo alisimama kuzungumza na wananchi na…