DMI yawaasa Wasichana kujiunga kada ya Ubaharia

Kaimu Mkuu wa Chuo cha DMI Dkt.Wilfred Johnson Kileo akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye Maonesho ya ya Tano  Wiki ya Elimu ya Juu inayofanyika Viwanja vya Maisara Zanzibar. Baadhi ya wanawake wanafunzi a wananchi wakiwa kwenye Banda la DMI katika Maonesho yaTano ya Elimu Juu Zanzibar. *Yasema hakuna kizuizi cha kufanya mwanamke kuwa baharia…

Read More

Yanga, Simba Kwa Mkapa, Azam yapelekwa Zenji

ILE Dabi ya Kariakoo ya kwanza kwa msimu mpya sasa imefahamika itapigwa Kwa Mkapa siku ya Agosti 8, ikiwa ni mechi ya Ngao ya Jamii ya kuzindua msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2024-2024, huku pambano jingine la michuano hiyo kati ya Coastal Union na Azam likipelekewa visiwani Zanzibar. Simba ndio watetezi wa michuano hiyo…

Read More

Ajibu apewa mwaka Dodoma Jiji

DODOMA Jiji imemsainisha kiungo wa ushambuliaji Ibrahim Ajibu kwa mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo msimu ujao akitokea Coastal Union ya Tanga. Mmoja wa viongozi wa timu hiyo ameliambia Mwanaspoti kwamba bado wanaamini Ajibu ana uwezo mkubwa uwanjani hivyo ataongeza nguvu katika kikosi chao. “Usajili huo unafanywa chini ya kocha Mecky Maxime, ambaye anawafahamu…

Read More

LIVERPOOL YAJIONDOA KUMUWANIA LENY YORO

Liverpool wamejiondoa kwenye kinyang’anyiro cha kumnunua mlinzi wa Manchester United Leny Yoro, 18, kutoka Lille kwa sababu walihisi anavutiwa zaidi na klabu ya Real Madrid. (Mirror) Powered by; @acbtanzania_ @kobemotor @betpawatanzania @wearekerry #TetesizaSokaUlaya #KonceptTvUpdates

Read More

Rais Biden akutwa na Uviko-19, ashinikizwa kutogombea

Rais wa Marekani, Joe Biden jana Jumatano Julai 17, 2024 alipimwa na kugundulika na Uviko-19 hivyo kulazimika kukatiza mkutano wa kampeni uliokuwa na lengo la kutafutwa uungwaji mkono kwa wapiga kura wa Latino. Kwa mujibu wa tovuti ya BBC, Biden mwenye umri wa miaka 81 alibainika kuwa na dalili za ugonjwa huo na tayari ameanza matibabu…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Alichokifanya Benchikha sio cha ajabu

WACHEZAJI wawili walioondoka Simba katika dirisha hili la usajili, wamekula maisha huko Algeria baada ya kujiunga na JS Kabylie inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo. Tunawazungumzia viungo Sadio Kanoute na Babacar Sarr ambao wamemwaga wino wa kuitumikia JS Kabylie msimu ujao, wakiwa wachezaji huru kutokana na sababu tofauti. Kanoute ameondoka akiwa huru kwani mkataba wake ulikuwa…

Read More

TANZANIA, MAREKANI NA INDIA KUONGEZA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA NISHATI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Serikali ya Marekani, India na Tanzania zimekubaliana kuongeza ushirikiano katika miundombinu ya umeme unaotokana na Nishati Jadidifu ili iweze kuchangia ipasavyo katika gridi ya Taifa kama ilivyo kwa vyanzo vingine vya Nishati kama vile Maji na Gesi Asilia. Hayo yameelezwa Julai 17, 2024 jijini Dar es Salaam na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Dkt….

Read More