Wanawake waliokimbia makazi yao wanakabiliwa na kiwango 'kisichokuwa cha kawaida' cha ukosefu wa usalama na unyanyasaji wa kingono – Masuala ya Ulimwenguni

Ripoti mpya na UN Women inafichua hali mbaya ya maisha na ukosefu wa usalama unaowakabili wanawake na wasichana wapatao 300,000 waliokimbia makazi yao huku kukiwa na hali tete ya kisiasa, kuongezeka kwa ghasia za magenge na tishio la msimu wa sasa wa vimbunga. Katika hatari ya mara kwa mara Wanawake na wasichana wanachangia zaidi ya…

Read More

Kongamano la Wanaume DSM, Mwenyekiti asema chakula bure “Mtakunywa supu, usafiri upo”

Katika hali ambayo haijazoeleka Mwenyekiti wa Wanaume Kanisa la CLGN lenye Makao Makuu yake Kinyerezi Dar es Salaam, Obadia Mushi amesema watatoa chakula bure katika kongamano litakalowahusu wanaume tu. Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa kugawa vipeperushi, Mushi amesema ; “Tukio litafanyika 20/7/2024 siku ya Jumamosi tutakuwa na kongamano la Wanaume litakalofayika Mbezi Beach…

Read More

Malisa afikishwa mahakamani Kilimanjaro, kusomewa mashtaka

Moshi. Mwanaharakati na Mkurugenzi wa GH Foundation, Godlisten Malisa amefikishwa  mahakamani mkoani Kilimanjaro leo Alhamisi Julai 18, 2024 akisubiri kusomewa mashtaka mbalimbali likiwemo la uchochezi. Tayari mawakili wake, Hekima Mwasipu na Dickson Matata wamefika mahakamani hapo kwa ajili ya kusikiliza kesi hiyo. Wengine waliopo katika viunga vya mahakama hiyo ni wafanyakazi wa taasisi yake, akiwemo…

Read More

TUME ya Ushindani FCC yawahakikishia wawekezaji mazingira salama ya kuwekeza nchini

TUME ya Ushindani (FCC) imewahakikishia wawekezaji kutoka nje ya nchi wanaokuja nchini Tanzania kuwekeza kwani kuna mazingira salama ya uwekezaji pamoja na kufanyabiashara.   Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC) William Erio alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Wiki ya Kudhibiti bidhaa bandia duniani ambayo huadhimishwa…

Read More

Pochettino anukia ukocha Marekani | Mwanaspoti

NEW YORK, MAREKANI: MAURICIO Pochettino ameripotiwa kujitokeza kama mtu anayepewa nafasi kubwa ya kupewa kiti cha ukocha wa timu ya taifa ya soka ya Marekani baada ya kutimuliwa kwa Gregg Berhalter. Berhalter alifutwa kazi baada ya matokeo mabovu ya kikosi cha Marekani kwenye michuano ya Copa America 2024 ambako walitolewa katika hatua ya makundi. Katika…

Read More

Mchepuko wamweka matatani Kyle Walker

MANCHESTER, ENGLAND: MKE wa Kyle Walker, mwanamama Annie Kilner yuko tayari kumpa ‘nafasi ya mwisho’ staa huyo wa Man City ili kuiokoa ndoa yao  lakini ni lazima beki huyo wa timu ya taifa ya England afuate masharti makali. Mwanamama huyo ambaye kwa sasa amejitenga na mumewe, ameripotiwa kuwa yuko tayari kumpa nafasi ya mwisho Walker…

Read More

Chama mambo freshi Yanga | Mwanaspoti

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Clatous Chama sasa mambo freshi kuendelea kuitumikia timu hiyo ambayo imemsajili akitokea kwa watani zao, Simba. Chama amejiunga na Yanga kwa mkataba wa mwaka mmoja na tayari anaendelea na maandalizi ya kujiweka fiti kwa msimu mpya wa Ligi Kuu Bara unaotarajia kuanza Agosti 16, mwaka huu. Awali, Mwanaspoti liliripoti kuwa Chama…

Read More

Ligi ya mabingwa Afrika, Yanga kiulaini tu

WAKATI klabu sita zitakazopeperusha bendera ya Tanzania katikamashindano ya klabu Afrika msimu ujao, zimekwepa mtego wa Shirikisho la Soka Afrika (Caf) baada ya kupata leseni ya ushiriki, upepo mzuri unaonekana kuwa upande wa Yanga inayonolewa na Miguel Gamondi kabla hata mashindano hayajaanza. Gamondi na jeshi lake wamelainishiwa mapema kulingana na ratiba ya mechi za raundi…

Read More