
Mambo ya kuzingatia kabla ya kuanza biashara
Biashara ndogondogo zinaonekana kuwa mkombozi kwa watu wengi linapokuja suala la kupata ajira na kipato. Hata hivyo, kuanzisha na kuendeleza biashara ndogondogo si jambo jepesi. Bila kuzingatia mambo haya ni rahisi kwa biashara kufa ama kutopata mafanikio. Asilimia kubwa ya wale ambao wapo kwenye biashara wanadhani kuwa mtaji ama kuwa na kiasi fulani cha fedha…