
Watoa huduma za afya watakiwa kuzingatia vipaumbele vya Serikali
Dar es Salaam. Watoa huduma za afya wametakiwa wafuate vipaumbele vya Serikali katika utoaji wa huduma ili kuleta matokeo chanya. Mkurugenzi wa Huduma za Afya wa Wizara ya Afya, Dk Ahmad Makuwani amesema hayo Jumatatu Julai 15, 2024 wakati wa ufunguzi wa kongamano la huduma za afya (Health Care Excellence Symposium) lilioandaliwa na Shirika la…