HALMASHAURI WEKENI MIKAKATI YA KUTOKOMEZA MALARIA- DKT. JAFO

Na Shikunzi Oscar Waziri wa Viwanda na Biashara Selemani Jafo amezishauri halmashauri zote nchini kuweka mkakati wa kununuaa dawa za viluwiluwi inayozalishwa na kiwanda cha TBPL kilichopo Kibaha Mkoani Pwani ili kuuwa mazalia ya mbu na kusaidia kutokomeza kabisa ugonjwa wa malaria ambao umekuwa tishio kwa kupelekea watu kupoteza maisha. Ushauri huo ameutoa leo Julai…

Read More

DKT.MFAUME ATOA MAELEKEZO MAZITO KWA MAAFISA LISHE

OR-TAMISEMI Mkurugenzi wa Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt.Rashid Mfaume amewaelekeza Maafisa Lishe wa Mkoa na Halmashauri nchini kuhakikisha wanaimarisha huduma za lishe ikijumuisha afua za Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto ili kuwezesha makuzi kamilifu ya mtoto. Akitoa maelekezo hayo leo Julai 17,2024 Jijini Dodoma…

Read More

Mbinu ya kubaini bidhaa bandia yatajwa

Dar es Salaam.  Wakati Tume ya Ushindani Tanzania (FCC) ikiendelea kupambana na bidhaa bandia, imetaja mbinu ya kuzibaini huku ikiwataka wafanyabiashara wauze bidhaa halisi kwa kuwa hazina ushindani na zile bandia. Hayo yamebainishwa leo Jumatano Julai 17 2024 na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani Tanzania (FCC), William Erio wakati akizungumza na waandishi wa habari…

Read More

PROF. SHEMDOE: MAAZIMIO YA MKUTANO WA KIMATAIFA WA SAYANSI WA TAASISI YA NELSON MANDELA YAWEKWE KATIKA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050.

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe(Katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Upeo wa Kitropiki Uendelevu wa kilimo, mazingira na teknolojia ulioandaliwa na Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela. ……. Na.Mwandishi Wetu _Arusha Katibu Mkuu Wizara ya…

Read More

Yanga yatoa msimamo yawageukia kina Magoma, TFF, Rita zafunguka

MASHABIKI wa Yanga hadi sasa bado hawaelewi kinachoendelea klabuni kwao, baada ya tangu juzi usiku kuenea kwa taarifa kwamba uongozi wa klabu hiyo hautambuliwi kisheria kutokana na hukumu ya kesi iliyofunguliwa na baadhi ya wanachama kupinga katiba iliyowaingiza madarakani. Hata hivyo, sakata hilo la wanachama hao kuipinga katiba ya mwaka 2010 inayolikataa Baraza la Wadhamini…

Read More

PROF. SHEMDOE: MAAZIMIO YA MKUTANO WA KIMATAIFA WA SAYANSI WA TAASISI YA NELSON MANDELA YAWEKWE KATIKA   DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO  2050.

  Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe akiongea na washiriki wa  Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Upeo wa Kitropiki Uendelevu wa kilimo, mazingira na teknolojia ulioandaliwa na Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa mkutano huo Julai 17,2024 katika Hoteli ya Mount…

Read More

Tanzania itatumia rasilimali ya madini ya kimkati

Waziri wa Nchi, Office ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (Mb.) akichangia mada kuhusu kuhamasisha utekekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu 2030 katika Mkutano wa viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Pili wa Ngazi ya Juu wa Jukwaa la Hatua za Dunia kwa Maendeleo ya Pamoja Baijing, China. Waziri wa Nchi, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo,…

Read More

Baerbock afanya ziara Ivory Coast baada ya Senegal – DW – 17.07.2024

Kauli ya Baerbock ameitoa hapo jana alipowasili mjini Abidjan nchini Ivory Coast akitokea nchini Senegal. Lakini mnamo Julai 6 mwaka huu, Ujerumani ilikuwa tayari ilitangaza kuwa itasitisha operesheni katika kambi yake ya anga huko  Niger  na kuwaondoa wanajeshi wake 36 waliosalia nchini humo ifikapo Agosti 31. Hata hivyo Baerbock amesisitiza kuwa Ujerumani haikusitisha utowaji wa misaada…

Read More

Nape akosolewa kwa matamshi yake makali – DW – 17.07.2024

Waziri huyo amesema matokeo ya uchaguzi hayawezi kuamuliwa na kile kinachowekwa kwenye sanduku la kura pekee akisema kuna mbinu nyingine zinazoweza kumfanya mgombea kushinda. Kiongozi wa chama cha wananchi CUF, Mohammed Ngulangwa mbali ya kuikosoa kauli hiyo lakini pia amesema ni kauli yenye kuudhi na kuleta ukakasisi katika taifa ambalo linajinadi kuimarisha demokrasia na kuzingatia…

Read More