
RC TANGA ATOA MAAGIZO KWA WAKUU WA WILAYA
Raisa Said,Tanga MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi Dkt. Batilda Buriani amewataka wakuu wa wilaya za mkoa huo kufanya ukaguzi wa mifumo ya ukusanyaji wa mapato kila baada ya wiki katika halmashauri zao ili kuziba mianya yote ya upotevu wa fedha za Serikali zinazopatikana kupitia vyanzo mbalimbali. Agizo hilo limetolewa na Mkuu huyo wa mkoa …