WATUMISHI WA AFYA ZINGATIENI MAADILI YA KAZI KAZINI.

Naibu Waiziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Elimu Mhe. Dkt. Festo Dugange (Mb) amewataka Watumishi wa Sekta ya Afya kote Nchini kuhakikisha wanazingatia utoaji wa huduma kwa kuzingatia Maadili, Lugha nzuri na Uwajibikaji kutokana na viapo vyao vya ya kazi pindi wawapo kazini. Mhe. Dkt. Dugange ametoa maelekezo hayo…

Read More

FANYENI UCHUNGUZI WA MACHO ANGALAU MARA MOJA KWA MWAKA

*Na Gladys Lukindo, Dodoma* Wananchi wameshauriwa kufanya uchunguzi wa macho angalau mara moja kwa mwaka ili kubaini kama kuna viashiria vya shambulizi la ugonjwa wa sukari katika jicho, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Macho, Dkt Joshua Mmbaga, ameshauri. Dkt Mmbaga, ambaye anatoka Kliniki ya Macho ya Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) ameyasema leo wakati akiwasilisha…

Read More

Mawakili 29 kumtetea Mwabukusi Mahakama Kuu 

Dar es Saaam. Mawakili 29 wa kujitegemea wanatarajia kumtetea wakili Boniface Mwabukusi katika shauri la maombi Mahakama Kuu anayoiomba kufanya marejeo ya uamuzi uliomwengua kwenye orodha ya wagombea urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS). Mawakili hao wanaongozwa na Mpare Mpoki, akisaidiana na Jebra Kambole, John Malya anayemwakilisha Pater Kibatala, Dickson Matata, Edward Heche na…

Read More