Dkt Tulia azindua tawi la Benki ya PBZ Mbeya, Awatahadharisha Wananchi Dhidi ya ‘Kausha Damu’

Na Mwandishi Wetu,Manyara. Bilionea David Mulokozi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Mati Super Brands Limited ametoa zawadi ya Bajaji mpya kwa Dereva wa bajaji Abel Rajabu ambaye ameweka picha ya Bilionea huyo kwenye bajaji yake baada ya kuvutiwa na kazi anazozifanya za kuwekeza kwenye viwanda na kusaidia jamii inayomzunguka kutokana na faida anayoipata….

Read More

Kocha Mkenya akabidhiwa MIKOBA Tabora United

TABORA United msimu ujao itakuwa chini ya Kocha Mkenya, Francis Kimanzi ambaye muda wowote atatambulishwa. Kocha huyo wa zamani wa Tusker ya Kenya na timu ya Taifa hilo tayari amefikia makubaliano ya awali na Tabora United na kilichobaki ni kutua Tanzania kusaini mkataba wa mwaka mmoja waliokubaliana. Kimanzi mwenye leseni ya UEFA daraja A anakuja…

Read More

Chelsea wamekamilisha uhamisho wa Jörgensen

Chelsea wamekamilisha usajili wa mlinda mlango wa Denmark chini ya umri wa miaka 21 Filip Jörgensen kutoka Villarreal ya LaLiga. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22, ambaye msimu uliopita alikua kipa nambari 1 wa Villarreal, amesaini mkataba wa miaka saba, Chelsea ilisema. Vilabu havikufichua ada ya uhamisho lakini vyombo vya habari vya Uingereza viliripoti…

Read More

Kiongozi mkuu kundi la Hamas auawa Iran

Kiongozi Mkuu wa Kundi la Hamas, Ismail Haniyeh amefariki dunia leo Julai 31, 2024 alipovaamiwa kwenye makazi yake mjini Tehran, Iran. Haniyeh ameuawa siku moja baada ya kushiriki sherehe za kuapishwa kwa Rais mpya wa Iran, Masoud Pezeshkian aliyeapishwa jana Jumanne. Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Iran (The Iranian Revolutionary Guard Corps) limesema chanzo…

Read More

Coastal Union bado kidogo wafunge hesabu

KOCHA Mkuu wa Coastal Union, David Ouma amesema asilimia 70 kikosi chake kipo tayari kwa ajili ya kuanza msimu mpya huku akidai kuwa 30 zilizobaki ni za mbinu. Akizungumza na Mwanaspoti, Ouma ambaye yupo Pemba sambamba na timu hiyo, alisema maandalizi yanakwenda vizuri na wachezaji kwa asilimia kubwa wameingia kwenye mfumo. “Kikosi kinaendelea vizuri na…

Read More

Siku 3,074 za Kinana CCM kwa mtindo wa kuombwa kurudi, kujiuzulu

Aprili Mosi, 2022, Kanali mstaafu Abdulrahman Kinana, alichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara. Nilifanikiwa kuzungumza na Kinana muda mfupi baada ya uchaguzi huo na nikamuuliza swali, kwa nini ameamua kugombea tena nafasi hiyo. Alinijibu kwa kifupi: “Nimeombwa kumsaidia mama.” Ni kipindi ambacho Rais Samia Suluhu Hassan, alikuwa akitimiza mwaka mmoja…

Read More

Sura mpya tumaini la mabao Ligi Kuu

Kasi ya kufumania nyavu ambayo imeanza kuonyeshwa na wachezaji wapya waliosajiliwa na timu tofauti za Ligi Kuu Bara kwenye mechi za maandalizi ya msimu mpya (pre-season) hapana shaka inazipa imani chanya timu zao kwamba watakuwa na mchango mkubwa katika msimu ujao. Tathmini iliyofanywa na gazeti hili kwa timu saba ambazo zimeshacheza mechi za kujipima nguvu…

Read More