Rekodi kali za kuruka zinazosubiri kuvunjwa Olimpiki

WANAMICHEZO 10,500 watakuwa katika Jiji la Paris, Ufaransa kwa ajili ya michezo ya Olimpiki itakayofanyika kuanzia Julai 26 hadi Agosti 11, mwaka huu. Kwa mara ya kwanza katika historia ya mashindano hayo makubwa ya michezo duniani washiriki kutoka zaidi ya nchi 200 watakuwa nusu wanaume na nusu wanawake ambao watashindana katika michezo 32. Kwa kawaida…

Read More

Mfanyakazi wa shule akutwa amekufa kwenye tanki la maji

Arusha. Watu wawili wamefariki dunia jijini hapa akiwemo mfanyakazi wa Shule ya Msingi Shinda, Deogratius Shayo (50), ambaye mwili wake umekutwa ndani ya tanki la maji lenye ujazo wa lita 10,000. Katika tukio lingine, mfanyabiashara wa pombe kali aliyejulikana kwa jina moja la Neema (40 – 45) pia amekutwa amekufa ndani ya nyumba yake, ikidaiwa…

Read More

Isanzu, Nathwani, vitani tena Arusha Open

NI vita ya kisasi kati ya Ally Isanzu anayeongoza mbio za ubingwa wa Lina PG Tour na vijana watatu kutoka Arusha; Jay Nathwani, Garv Chadhar na Aliabas Kermali walioichafua rekodi yake ya kutoshindwa katika viwanja vya Arusha Gymkhana. Isanzu anapambana tena na vijana hao katika mashindano ya wazi yajulikanayo kama Arusha Open ambayo yanaanza katika…

Read More

Zaidi ya watu 70 wameuawa DR Congo, wakiwamo wanajeshi tisa

DR Congo. Zaidi ya watu 70 wakiwemo wanajeshi tisa wameuawa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Congo baada ya watu wenye silaha kushambulia Kijiji cha Kinsele kilichopo kilomita 100 kutoka Mji Mkuu Kinshansa. Mauaji hayo yalitokea Jumamosi Julai 15, 2024 huku miundombinu mibovu ikitajwa na Mbunge wa Jimbo la Kwamouth, David Bisaka kuwa chanzo cha taarifa hiyo…

Read More

Washika usukani 18 mzigoni mbio za magari

VUMBI jekundu eneo la Pongwe, Kisimatui, Mkanyageni na Mlamleni mkoani Tanga litatimka Jumamosi wakati madereva 18 watakapokuwa kibaruani kuwania ubingwa wa mbio magari za ufunguzi wa msimu zinazoitwa Advent Rally of Tanga Hayo ni mashindano ya kwanza ya ubingwa wa taifa kwa mbio za magari ambayo yatashirikisha madereva kutoka ndani na nje ya nchi, kwa…

Read More