
Tetemeko la ardhi lilivyozua taharuki Moshi
Moshi. Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa ‘Ritcher’ 4.6 lililopita usiku wa Julai 16, 2024, likitokea Nairobi, Kenya na kuzua taharuki kwa wakazi wa Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro. Hata hivyo inaelezwa kuwa mbali ya kuzua taharuki, tetemeko hilo halijasababisha madhara. Kwa mujibu wa Mjiolojia Mwandamizi kutoka Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania,…