
Mchungaji Odero aonya wahubiri wanaozuia watu kutibiwa hospitali
Mwanza. Muhubiri maarufu wa Kenya, Ezekiel Odero, amewapinga baadhi ya manabii wanaozuia wagonjwa kutumia dawa na huduma za hospitali ili wapate miujiza na uponyaji kutoka kwao, huku akiwataka watumishi hao wahubiri neno la Mungu bila kupotosha. Mchungaji Odero ametoa kauli hiyo leo Jumatano Julai 17, 2024 alipozungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza. Amesema katika…