Serikali yaendelea na Majadiliano na Wadau na Kampuni za Uzalishaji wa Nishati Safi ya Kupikia ili Kupunguza ya gharama za Ununuzi kwa Wananchi

Serikali imesema inaendelea na majadiliano na wadau mbalimbali zikiwemo kampuni za uzalishaji wa nishati safi ya kupikia ili kupunguza ya gharama za ununuzi wa bidhaa hiyo kwa wananchi.Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema hayo katika tamasha la kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia lililoandaliwa na…

Read More

TANZANIA NA OMAN ZAJIPANGA KUKUZA BIASHARA

Balozi wa Tanzania nchini Oman, Mhe. Fatma Rajab akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Biashara, Viwanda na Uwekezaji, Mhe. Qais bin Mohamed Al Yousuf ……………… Ubalozi wa Tanzania nchini Oman umeandaa Kongamano la biashara na uwekezaji litakalofanyika nchini Oman kuanzia tarehe 26 – 28 Septemba 2024.   Hayo yameelezwa wakati wa kikao kati ya Balozi wa…

Read More

TIC yapongezwa kuweka mazingira mazuri na wezeshi kwa ajili ya kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Mipango na Uwekezaji Stanslaus Nyongo, ameeleza kuridhishwa na hatua kadhaa ambazo zimeendelea kuchukuliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), katika kuweka mazingira mazuri na wezeshi kwa ajili ya Kuwavutia Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi. Naibu Waziri Stanslaus Nyongo ametoa Kauli hiyo jana Julai 16, 2024…

Read More

WANANCHI WAHIMIZWA KUTUMIA NISHATI SAFI ILI KUTUNZA MAZINGIRA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme amewahimiza wananchi kutumia nishati safi ya kupikia na kuachana na matumizi ya nishati chafuzi inayochangia uharibifu wa mazingira. Amesema hayo wakati akizindua Kongamano la ‘Samia Nishati Safi Festival’ kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ambayo ni rafiki kwa Mazingira na afya ya…

Read More

Tanzania na Oman zasaini mkataba wa usafiri wa anga (Basa)

Tanzania na Oman zimesaini mkataba wa usafiri wa anga (Basa) ambao utawezesha mashirika ya ndege kutoka nchi hizo, kusafiri pande zote bila kujali idadi ya safari wala ukubwa wa ndege husika. Kusainiwa mkataba huu pia kutawezesha mashirika ya ndege yasiyokuwa na ndege kuungana na yale yanayozimiliki kuendesha biashara kwa pamoja. Hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi…

Read More

Matarajio ya Kanak ya Uhuru yamepingwa Kufuatia Msukosuko wa Kisiasa katika Kaledonia Mpya – Masuala ya Ulimwenguni

Wafuasi wa Kanak Pro-Independence wakionyesha bendera ya Kanak wakati wa maandamano katika mitaa ya Noumea kabla ya kura ya maoni ya kwanza ya Uhuru wa New Caledonia mwaka wa 2018. Credit: Catherine Wilson/IPS na Catherine Wilson (noumea, new caledonia) Jumatano, Julai 17, 2024 Inter Press Service NOUMEA, New Caledonia, Julai 17 (IPS) – Imepita miaka…

Read More

WAZIRI NAPE AOMBA RADHI – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewaomba radhi Wananchi na wapenda demokrasia Nchini kwa kauli aliyoitoa akizungumza na Wafanyabiashara wa Soko la Kashai, mjini Bukoba Julai 15, 2025 ambayo imezua mjadala mtandaoni.   Akiongea leo July 17,2024 Nape amesema “Kama nilivyosema kwenye tweet yangu huu ni utani sasa nadhani umekuwa…

Read More