
Hamilton, Verstappen sako kwa bako
MBIO za magari nchini Hungary wikiendi hii zinatarajiwa kuwa na msisimko wa aina yake kutokana na kampuni ya Mercedes kushinda mbili mfululizo zilizopita nchini Austria na Uingereza. Madereva George Russell na Lewis Hamilton ndio waliofanikisha ushindi huo ambao umeirudisha kwenye chati kampuni hiyo kiasi cha kuamsha vita mpya kati ya kampuni hizo pinzani kwa miaka…