
TETESI ZA USAJILI BONGO: Simba kumkosa jumla Lawi, Saido atajwa Rayon
BEKI wa Coastal Union ambaye pia inaelezwa kumalizana na Simba dirisha hili la usajili, Lameck Lawi anatajwa kutimka nchini hivi karibuni kwa ajili ya kujiunga na K.A.A Gent inayoshiriki Ligi Kuu Ubelgiji. Lawi ambaye msimu ulioisha alionyesha uwezo mkubwa eneo la beki wa kati na kuisaidia timu yake kumaliza nafasi ya nne na kupata nafasi…