Msimamizi wanafunzi Mirerani adaiwa kujinyonga shuleni kwa kamba

Mirerani. Msimamizi wa Shule ya Awali na Msingi New Vision,  mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara, amedaiwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya manila. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP), George Katabazi akizungumza leo Jumanne Julai 16 2024 amemtaja msimamizi huyo kuwa ni Paulo Essau (32) mkazi wa Kitongoji cha…

Read More

Wazazi, shule hofu yazidi kutanda watoto kupotea Dar

Dar es Salaam. Hofu imezidi kuwakumba wazazi na shule jijini Dar es Salaam kutokana na matukio ya watoto kupotea. Wasiwasi umechangiwa na tukio la hivi karibuni lililotokea Mbagala wilayani Temeke, Dar es Salaam, ambako Yusra Mussa, mwanafunzi wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Mbagala Kuu, aliuawa ikidaiwa baadhi ya viungo vya mwili wake,…

Read More

Rais Biden asema hatoacha kumkosoa Trump – DW – 17.07.2024

Biden ameendelea na wito wake wa kutuliza kauli za kuwatenganisha Wamarekani kutoka pande zote mbili za Democratic na Republican. Rais huyo lakini amesema kwa kufanya hivyo haimaanishi kwamba anastahili kusita kusema ukweli kumhusu hasimu wake wa chama cha Republican, Trump. Akizungumza katika Mkutano wa Chama cha Maendeleo ya Watu Weusi huko Marekani, NAACP, mjini Las…

Read More

800,000 bado wamekwama El Fasher ambapo vifaa vinaisha, inaonya WHO – Masuala ya Ulimwenguni

Katika tahadhari, Dk Shible Sahbani, WHO Mwakilishi wa Sudan, alisema kuwa mapigano makali kati ya wanajeshi hasimu wa Sudan yamefanya ufikiaji wa El Fasher “kutowezekana kabisa”, wakati pande zinazozozana nchini humo zinaendelea kufanya mazungumzo mjini Geneva. Onyo la hivi punde kuhusu dharura hiyo linakuja miezi 15 tangu mzozo mkubwa ulipozuka kati ya wanajeshi hasimu nchini…

Read More