
MWENYEKITI UWT KIBAHA MJI AWAFUNDA WANAWAKE KATA YA TUMBI NA SOFU KUELEKEA UCHAGUZI
NA VICTOR MASANGU, KIBAHA Jumuiya ya umoja wa wanawake (UWT) Wilaya ya Kibaha mjini imewahimiza wakinamama kuhakikisha wanajitokeza kwa wingi kuchukua fomu bila ya uwoga wowote kwa ajili ya kugombea nafasi mbali mbali za uongozi hasusan katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ambao unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa UWT Elina…