
Marekani kuongeza nguvu mapambano ya saratani nchini
Dar es Salaam. Wizara ya Afya Tanzania na Taasisi ya Biden Cancer Moonshot ya nchini Marekani, wamekaa kikao cha pamoja kutathmini maeneo muhimu ya kushirikiana kupambana na saratani nchini. Tanzania na Marekani wamekubaliana kukabiliana na uhaba wa wataalamu, ukosefu wa miundombinu wezeshi, vifaa tiba hasa vya kutoa huduma za mionzi, takwimu, tafiti na ubunifu ili…