
Rais Kagame azungumza kwa mara ya kwanza baada ya kuchaguliwa
Kigali. Rais mteule wa Rwanda, Paul Kagame amechaguliwa tena kuongoza Taifa hilo huku akiwashukuru wananchi wa Rwanda kwa kumwamini tena kwa kumchagua. Katika uchaguzi huo uliofanyika Julai 15, 2024, Kagame aliyegombea kupitia chama tawala cha RPF, amepata jumla kura 7,099,810 kati ya kura zote milioni 9,071,157, ushindi huo ni sawa na asilimia 99.15. Amefuatiwa na…