
WAKURUGENZI WAPEWA MWEZI MMOJA KUKAMILISHA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA SHULE ZA WASICHANA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa akiwaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri (hawapo pichani) kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya shule mpya za sekondari za wasichana za mikoa ndani ya mwezi mmoja, wakati wa kikao cha tathmini ya ujenzi wa shule hizo kilichofanyika katika Ukumbi wa Arnautoglo wa Manispaa ya Ilala jijini Dar…